Umewahi pewa na BESTIE 🥰. Aki Njeri katanimaliza 🙈. So kitu 6pm nikiwa nimechill tu kwa keja sina hili wala lile, Niliona call na new number, I actually don't answer new numbers easily ju yale madeni niko nayo huku nje nani wacha tu😂.
After 3missed calls nikaona nishike tu, at first I thought ni malaika kutoka ju mbinguni ananikol🙈. Sauti nzuri ya ajabu kweli😜.
ME: Who's this please?
VOICE: Really sky?? Unataka kujifanya umenisahau?
ME: Njeri.. hehee.. Let me guess, this round unataka kukam ukatalie kwa mlango sindio??
Njeri: Sky hujawahi sahau venye nilikatalia kwa kiti😂😂. You have to heal bro.
ME: unataka aje?
HER: Uko kwa nyumba,,? imgn nilikam kuona boyfriend wangu Caleb..... all the way from eldoret alfu namkol napata ni dem ako na simu eti ni bibi yake😭.
ME: So how does that have to do with me Njeri. Ama unataka tu nijue uko na boyfriend ambaye unajua ni rafiki yangu💔.
HER: No please 🥺 stop okay. Stop it. Naona mvua inakaribia, giza nalo ndo hilo. Am coming to your place Sky.
Hehee wakuu hapo nilijuwa bet imeingiana, though sikutaka kajue niko desperate. I hanged up the call. Kalizidi kukol lakn wapi,, kitu saa moja hivi niliskia knock kwa mlango. Mtoto alikuwa amenyeshewa akalowa maji nguo zote😂😂.
HER: Sky fungua mlango,, really? do you hate me that much 😭.
Nilifungua mlango kakapita mpaka place kiti ilikuwa last time..
ME: I thought you were just messing with me. You know, like last time 🥺.
HER: Kiti ulipeleka wapi... (Silence)
Njeri kaliniangalia kakacheka karibu kaanguke..
HER: So ni ukweli uliuza kiti😂😂. Oh my gosh aki boys.. sasa hizi nguo nitaweka wapi ona venye ziko wet.(Alisema huku akitoa jacket)
ME: I can see umenyeshewa kila mahali,,
HER: Uko na towel,,
ME: Ya nini?
HER: Ya kujifunika broo,, ama uko na nguo za dem unipee nibadilishe🥰.(Nilikapea towel) Thank you, now angalia uko nataka kutoa hizi niko nazo🙄
ME: Hehee, why? Let me help you 🙈
HER: (looking at me👁️👁️) Sky?? H
0 Comments